Sunday, 26 July 2015

Mbinu Ambazo Huenda Huzijui Katika Android Device (Google PlayStore)

Google play ni moja kati ya Soko kubwa la kushuusha App nyingi za bure na za kununua. Soko hili hutumiawa na watumiaji wa vifaa vya Adroid japokua hata kwa kompyuta yako unaweza kuingia katika soko hili sema ni vigumu kushusha App. Google play ndio soko linaloongoza kwa App za bure ukiachana na masoko mengine kama lile la AppStore linalomilikiwa na Apple Inc.
Soko la Google Play kama jina lake lilivyo linamilikiwa na kampuni ya Google, sasa ili kujua mbinu tofauti kuhusiana na soko hili endelea kusoma zaidi
A: FUATILIA SIMU ILIYO POTEA AU KUIBIWA
Ndio unaweza kufuatilia simu yako iliyopotea au kuibiwa lakini simu yako ya Android inabidi iwe na vitu muhimu vitatu ambavyo ni

• Kifaa chako kiwe kimeunganishwa na akaunti yako ya google

• Kifaa chako lazima kiwe na uweza wa kuingia katika mtanadao (internet)

• Lazima kifaa chako kiwe kimewasha sehemu ya ‘Location Settings

Kama simu yako imekidhi hayo mambo yote hapo juu, basi tunaenda sawa. Sasa fungua mtandao wa ‘Android Device Manager Android Device Manager na kisha anza kufuatilia simu yako iliyopotea au kuibiwa ili kujua ipo eneo gani kwa kutumia ramani.

Muonekano wa Mtandao wa Android Device Manager Pale unapoitafuta Simu Yako. Inakuonesha Ilipo na Inakupa uwezo wa Kubeep, kuilock – funga, na pia kuifuta data zako.
B: FUTA DATA ZAKO ZOTE KWA KUTUMIA GOOGLE PLAY
Hii ni moja kati ya zile mbinu nzuri tuu unazoweza fanya ukiwa na kifaa chako cha Android. Kwa kutumia njia hii unaweza uka RESET skifaa/simu yako ya android lakini kifaa hiko lazima kiwe na mambo mawili ya muhimu
• Hakikisha kina uweza wa kimtandao (internet) • Hakikisha kifaa chako kimeunganishwa na akaunti ya google
Kama una uhakika kifaa chako kimekidhi mambo yote hayo basi nenda katika ‘Android Device Manger‘ kisha futa kila kitu katika simu yako iliyoibiwa au kupotea. Hii itahakikisha usalama wa vitu vyako (mfano Picha, nyaraka, video na mafaili mengine ya muhimu) ndani ya kifaa. Kwa Njia 3 za Ku Reset simu ya Android soma Hapa
C: RUDISHIWA KIASI ULICHOTUMIA NUNUA APP USIYOIPENDA
Hivi umenunua App ambayo baadae haifanyi kazi kama ulivyodhani au hukuipenda na akajuta kupoteza hela yako bure?. Sasa unafanyaje?

Google rudisha kiasi ulichotumia kwa App ambazo hazifanyi kazi kama ulivyotegemea lakini kwa zoezi hili kukamilika kuna vigezo na masharti ambayo inabidi yazingatiwe.. zoezi hili litafanyika mara moja tuu kwa kila App hivyo usije kujisumbua kuomba kurudishiwa kiasu chako zaidi ya mara moja. Kitu kingine ni kwamba unaweza omba kurudishia kiasi chako baada ya masaa mawili kupita tangia ulivyo nunua App hiyo. Ili kurudishiwa kiasi chako, fungua Google play store na itafute hiyo App ya kulipia uliyoishusha. Ikishatokea ataona sehemu imeandikwa ‘REFUND’ bofya juu yake na Google ita rudisha kiasi hicho ndani ya masaa 48. Kitu kingine kizuri kuhusu hii ni kwamba hakuna sera ya maswali kwa hiyo unaweza omba kurudishiwa kiasi chako. Hii inamaanisha huwezi kuulizwa maswali mia ili kurudishiwa kiasi chako.
D: PATA ORODHA YA APP ZAKO ZA ZAMANI
Umeuza kifaa chako cha Android hivi karibuni na unataka orodha ya App ulizokuwa unatumia hapo awali? Google inakusaidi katika hilo, ‘Sign In’ katika Google Play kwa kutumia Akaunti yako ya kwanza kisha nenda Apps > My Apps ili kupata orodha ya App zako zote ulizowahi kushusha kwa sababu google inahifadhi App zote ulizowahi shusha

Eneo la ‘My Apps’ ktk Google Play























Monday, 1 June 2015

“Technology Solutions”

Are you secured? No more worries STAN TECHNOLOGY SOLUTIONS is your proper solution.

INTERNET SERVICE

Your business needs good Internet and communication solutions and services such as Local Area Networks (LANs) Wide Area Network (WLANs) VSAT, Satellite based Internetworking, Fabre optics networks, Wireless LANs and ISP Services and Systems/Servers Installation, configuration and administration

NETWORKING AND TELEPHONING

Your business needs good communication infrastructure for day to day activities. These are facilities for data and audio exchanges. STAN TECHNOLOGY SOLUTION links your business within and all over the world via the internet. Telephone facilities will support your audio communication through PABX machine and VoIP calls.

INTERCOM

STAN TECHNOLOGY SOLUTIONS is your total solution in Intercommunication's (Intercom) that can let you communicate within your home, office, school, hotel and various places for free charge. Just hold, place and talk instantly.

INTRUDER ALARM SYSTEM

Intruder Alarm System can give you harmony for your mind. You don’t need to scare at your relaxed moment. From STAN TECHNOLOGY SOLUTIONS you can secure your property and be notified for any interrupt. The affordable package we are providing can assist even when you are far from your property. This technology is supported by GPS satellites, GSM/GPRS communication over cellular networks. Your networked computer/mobile phone will allow you track your asset (s) 24hours.

ELECTRIC FENCE AND AUTOMATIC GATE CONTROL

Your boundaries can be managed from unauthorized personnel. Any unauthorized intruder will get zipped with high voltage/current installed system in your fence; also we can automatically control (open/close) your gate using a programmable button. STAN TECHNOLOGY SOLUTIONS can you open and close your compound/home gate remotely using a portable button.

CAR TRACKING AND FUEL MONITORING SYSTEM

A Car is a mobile asset that can also be monitored as its worth is considered. Drive together with STAN TECHNOLOGY SOLUTIONS experts all your ways in a safe mode. Monitor your speed, location, harsh brake, fuel fill/theft and the use of your asset; we can even stop your vehicle any where in East and Central Africa (Immobilize).

SUVILLANCE SYSTEM

View beyond your vision through surveillance system (Camera), the experts in ICT from STAN TECHNOLOGY SOLUTIONS can support you, view any object through internet in your networked computer or mobile phone. Serve your money from any theft around your environment and your business using CCTV technology.

ACCESS CONTROL SYSTEM

This includes analog, digital and electromagnetic door access technology. It gives door entrance access using fingerprint, card and personal codes. Also you can monitor your time attendance and run the reports.

FIRE ALARM SYSTEM

Fire disasters are serious dangerous but still they can be managed and prevented. The fire systems we are installing will alert/sound in case of any fire attempt in a building. This includes smoke detector, gas detector and heat detector as sensory organs. The system can automatically respond on fire circumstances.